Juisi ya vitunguu maji (tumia vitunguu maji viwili tu)

 TUMIA JUISI YA VITUNGUU MAJI VIWILI PEKEE. UTAKUJA KUNISHUKURU🙏


Unachukua vitunguu maji viwili pekee unavimenya na kuvikatakata vipande vidogo vidogo unavisaga kwenye blenda/kinu au kisagio cha nyanya.


Tumia maji nusu lita na ukimaliza unachuja vizuri makapi unatupa unakunywa glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.


Ukimaliza tu kuiandaa unakunywa hapo hapo isikae mda mrefu bila kutumika na usitunze kwa ajiri ya baadae.


Usichemshe wala kuweka sukari.❌🤸‍♂️

Mwenye vidonda vya tumbo asitumie.❌


KWANINI UTUMIE JUISI YA VITUNGUU MAJI VIWILI PEKEE KILA SIKU?.


1. Hutibu na kuyeyusha uvimbe wa aina yoyote mwilini (Ovarian Cyst na Fibroids).

2. Hutibu UTI SUGU, fangasi na P.I.D.

3. Hutibu kansa ya kizazi (Cervical Cancer).

4. Hutibu tatizo la tumbo kujaa gesi.

5. Huondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini.

6. Hutibu tatizo la kukosa hedhi kwa mda mrefu yaani kuhisi kama unaingia hedhi lakini haitoki.

#Afya #Tiba


Post a Comment

0 Comments